Sauti Sol - Asante sana baba Songtexte

Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike X2

Sintokusahau maishani baba yangu
Umenielimisha, rekebisha kanipa mawaidha
Baisikeli kanipandisha
Nguo za kifahari kanivalisha
Nayo majuto ni mjukuu
Tega sikio usiseme I wish I knew

Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike X2

Huuuuuuuu baba heiiii

Desturi na mila
Kulinda familia
Kuheshimu bibilia
Kumtunza malkia
Mtu mwenye heshima
Mfano mwema
Kwa kupanda na kulima
Mfano mwema,

Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike
Baba baba baba baba
Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike

Aaaaaaaaaaaaaaaaa X3

Uuuuuuuuuuuuuuu X2

Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike X2
Aaaa asante
Daddy ooooh
Dadddy ooododoooe
Wewe ni baba
Wewe ni baba
Wewe ni baba yangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba yangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba
Wewe ni baba yangu
Wewe uweiyeiye
Wewe ni baba
Wewe weweeee
Wewe ni daddy daddy daddy daddy daddy daddy
Wewe ni baba
Dieser text wurde 1002 mal gelesen.