Nakuomba nerea usitoe mimba yangu, eh
Mungu akileta mtoto analeta sahani yake
Lete nitamlea usitoe mimba yangu eh,
Mungu akileta mtoto analeta sahani yake.
Huenda akawa Obama, atawale america
Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda
Huenda akawa Onyama, acheze soccer Uingereza
Huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa
ohhh
Nakuomba nerea usitoe mimba yangu eh
Mungu akileta mtoto analeta sahani yake
Lete nitamlea usitoe mimba yangu eh
Mungu akileta mtoto analeta sahani yake
Huenda akawa Magahi, hailinde mazingira
Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga
Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania
Huenda akawa Mandela, mkombozi wa africa
Nakuomba nerea usitoe mimba yangu eh
Mungu akileta mtoto analeta sahani yake
Lete nitamlea usitoe mimba yangu eh
Mungu akileta mtoto analeta sahani yake
Nakuomba nerea
nerea