Bridge (Savara and RedFourth):
Wewe ndio nategemea, kufa kupona baba nakutegemea
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah)
Wewe ndio nategemea, (amen) kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)
Wewe ndio nategemea, kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)
Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh)
Chorus (Chimano):
Bwana ni mwokozi wangu, tena ni kiongozi wangu
Ananipenda, leo, kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki
Ananipenda, leo, kuliko jana
(plus rest of Sauti Sol)
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende leo mimi kuliko jana
Kuliko jana, kuliko jana
Yesu nipende leo mimi kuliko jana
Bridge (RedFourth):
Wewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)
Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia mbinguni utaniondolea
Wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea
Chorus (Chimano):
Bwana ni mwokozi wangu, tena ni kiongozi wangu
Ananipenda, leo, kuliko jana
Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki eh
Ananipenda, leo, kuliko jana.