Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake
Leta nitamlea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake.
Huenda akawa Obama atawale Amerika
Huenda akawa Lupita Oscar nazo akashinda
Huenda akawa Wanyama acheze soka uingereza
Huenda akawa Kenyatta mwanzilishi wa taifa
Aaah
Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake
Leta nitamlea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake.
Nitamlea oh oh
Huenda akawa Maathai ailinde mazingira
Huenda akawa Makeba nyimbo nzuri akatunga
Huenda akawa Nyerere aongoze Tanzania
Huenda akawa Mandela mkombozi wa Afrika
Aaah
Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake
Leta nitamlea
Usitoe mimba yangu eeh
Mungu akileta mtoto
Analeta hasani yake.