Sauti Sol - Zosi 歌词

Bridge:
You are fly
Rose flower beautiful
Stevie wonderful, you are the one x2

Verse 1:
Na marubani, madakitari watasema;
Zosi njo
Chunga sana, na we wachana usiwasikize hao
Wanamuziki wenye magita watazidi kukuita
Chunga sana na we wachana usiwasikeze hao

Chorus:
Zosi, zosi
Zosi ni we, zosi ni we x2

Bridge:
You are fly
Rose flower beautiful
Stevie wonderful, you are the one
(Zosi ni we)
You are fly
Rose flower beautiful (Rose flower beautiful)
Stevie wonderful, you are the one

The one,the one
Zosiii
You are mine, my girl, my zosi
Ni wewe and you are the one

Verse 2:
Na marubani, madakitari watasema;
Zosi njo
Chunga sana, na we wachana usiwasikize hao
Wale wadosi wenye manoti watesema Zosi njo (zosi njo)
Chunga sana, na we wachana usiwasikize hao

Chorus:
Wachana Nao
Waongo Nao
mhali wamche

Bridge:
You are the one and you still are

Bridge:
ni wewe, wewe,wewe
hey,ni wewe
The one,the one
Zosii
You are mine,my girl, my zosi
Ni wewe, zosi ni wewe,wewe
这个歌词已经 598 次被阅读了