Wahu - Still A Liar 歌词

VERSE 1 LYRICS:
Nakumbuka chali mmoja akinikatia
my dear you know that you are my number one
sikujua kulikuwa na number two, number three and number four

siku hizi ninasikia wakisema ni bwana wa watu, baba watoto sita
lakini game yake haijakatika no...

juzi nilikuona kilabu Nairobi na ndogondogo miaka yake ishirini eh
tabia ni zile zile...

CHORUS LYRICS:
Still a liar...
you're just a little older
miaka sio shida
sugar daddy liar
...

VERSE 2 LYRICS:
Mwanamme hutulii nyumbani kwako usome gazeti
ule chakula cha mkewe au
ukakae na wazee wenzako woh

vunja mifupa kama meno bado iko
ooh lakini kufukuzana na watoto ehh
wacheni aibu ndogo ndogo ooh

mpaka achoke mpaka aseme game shoti
my sister usijienjoy eeh
tabia ni zilezile...

CHORUS LYRICS:
Still a liar...
you're just a little older
miaka sio shida
sugar daddy liar
...

VERSE 3 LYRICS:
Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia
mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia
mwenye heshima ya watu wote eeh
my dear usiwachilie eeh
Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia
mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia
mwenye heshima ya watu wote eeh
my dear usiwachilie eeh
na mikono yote, shikilia
usiwachilie, shikilia
usiteleze, shikilia
shikilia wewe, shikilia
na mikono yote, shikilia
usiachilie, shikilia
usiteleze, dada shikilia wewe, shikilia

CHORUS LYRICS:
Still a liar...
you're just a little older
miaka sio shida
sugar daddy liar
...
这个歌词已经 1249 次被阅读了